msaada wadau

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
223
225
Habari wana jamvi? jamani pc yangu nilitaka ku install bluestack ikaniambia it fail to recognise graphic card na kushauri nifanye drivers update. Nilipata ka program kanaitwa slimdrivers nilikapata kwa mdau kwenye hili jamvi,nilipo download na ku isntall nitarun kuangalia update available nikapata kama 16 ila nika install ya drivers na sound system. Kilichotokea ni kwamba tatizo la bluestack lilibaki pale pale na likaongezeka tatizo jingine sauti ikakata kabisa hata spika icon chini ya monita haipo. Nilipojaribu kucheza wimbo nikajibiwa audio(sound driver)not installed.Nimebadili window ile spika icon kwa sasa inaonekana ila ina x,nikicheza audio file inajibu audio not istalled kama hapo mwanzo. Sasa nifanye nini au ndo nishaharibu my pc. Naomba msaada wenu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom