Msaada wadau

yilima jerad

Member
Joined
Jan 16, 2016
Posts
59
Reaction score
25
Mimi natumia simu, tecno y 4 ambayo ni laini, mbili, kwa laini zote . Changamoto ambayo inanisumbua Leo nimenunua laini ya univesties student, wamenisajilia vizuri tu na inapiga kazi upande laini one vizuri ukiwasha data.

Lakini mimi nataka niweke iwe laini two maana baada ya hapo ilinilazimu nikate na wameikata vizuri kila nikiweka nikiwasha data inaonyesha connected hits tz 01.

Wataalamu nisaidieni nifanyeje. Na Halotel wenyewe Huduma kwa Wateja direct kuongea nao unapiga namba zip?

Msaada samahani kwa maelezo marefu
 
Mkuu hizo x ulizoweka zinasomekaje mfano maelexo na ilinilaximu.
Huduma kwa wateje halotel ni no 100

Mtandao unasoma au ausomi?
 
nenda settings> mobile networks>Access point



chagua new
sehemu ya name weka halotel
sehemu ya APN weka "internet" (bila " " )
then save

 
Njia nyepesi nenda kwenye ukumbi wa masage andika neno (configuration) tuma kwenda namba 15503 subiri ujumbe wa configuration kwenye simu yako then save enjoy
 
Njia nyepesi nenda kwenye ukumbi wa masage andika neno (configuration) tuma kwenda namba 15503 subiri ujumbe wa configuration kwenye simu yako then save enjoy
Asante nimefanya hivyo wamenitumia ,nimeconfiguration VP natakiwa nibonyeze custom au full install?
 
Asante nimefanya hivyo wamenitumia ,nimeconfiguration VP natakiwa nibonyeze custom au full install?
Kipengele chochote kimoja wapo ukibonyeza poa ila kama itakutaka uingize password ingiza namba 1111 kama haitohitaji namba basi
 
Yeah Mi mwenyewe nahisi hivyo eneo nilipo labda.
Hilo tatizo hata kwang lipo na sio kutokana na eneo sababu kuna mtu anatumia halotel nakaa nae ila yake inafanya kaz mi nadhan hiz late n za chuo ndio zi nasoma hits tz na haziconnect na data maana mie nimeweka apn za kila aina na zote hazifany kaz na wala hiyo hitstz sidhan kama ni halotel maana halotel di ni viettel ila hiyo hits ni kampuni nyengnr kabisa lakin cha ajab vocha za halotel zinaingia sim unapiga ila tu data haifany kaz kind ng hiyo lain tupa tu hata uende ikulu bado tatizo hilo utakutana nalo kwahyo sio sehem uliopo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…