khalfan shaban Senior Member Joined Jan 1, 2013 Posts 110 Reaction score 55 Mar 8, 2016 #1 Wadau wa Jf naomba kujua chuo gani kinafundisha IT vizuri na ukimaliza ajira hazisumbui kiwe private au government. Ahsanteni khalfanshaban@gmail.com
Wadau wa Jf naomba kujua chuo gani kinafundisha IT vizuri na ukimaliza ajira hazisumbui kiwe private au government. Ahsanteni khalfanshaban@gmail.com
okyo JF-Expert Member Joined Mar 16, 2013 Posts 2,003 Reaction score 1,510 Mar 8, 2016 #2 khaaa hili nalo ni swali
khalfan shaban Senior Member Joined Jan 1, 2013 Posts 110 Reaction score 55 Mar 8, 2016 Thread starter #3 okyo said: khaaa hili nalo ni swali Click to expand... Ni swali maana nahitaji kufahamu. Najua unamaanisha nigoogle ila lengo langu hata waliosoma kwenye vyuo hivyo waseme. Unaweza ukagoogle lakin ukakuta profile nzuri ila undani wake tofauti. khalfanshaban@gmail.com
okyo said: khaaa hili nalo ni swali Click to expand... Ni swali maana nahitaji kufahamu. Najua unamaanisha nigoogle ila lengo langu hata waliosoma kwenye vyuo hivyo waseme. Unaweza ukagoogle lakin ukakuta profile nzuri ila undani wake tofauti. khalfanshaban@gmail.com