Msaada wadau wa Samsung

Msaada wadau wa Samsung

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
habari zenu wana jf. Natumia Samsung Omnia Pro b7330 ni window phone, window yake ni 6.5 standard ila nashindwa kuweka program kama whatsapp, viber na nyingine nyingi ambazo ni nzuri kwa mawasiliano na kushare files. kitu kingine makert place yake haifunguki,inajibu check internet setting and trry later. Natumia internet ila kama jf,fb lakini sio installed programs naandika web address. Naomba msaada kwa anayefahamu jinsi ya kufanya nami ni enjoy hizo programs.
 
siku nyingine kabla hujanunua simu njoo hapa uombe ushauri useme una sh ngapi alafu ushauriwe.... nadhan inakera umenunua gadget mpya unataka uanze kuifurahia inaanza kuzingua!!
 
tafuta program ya play store ingiwa inaweza kuwa rahisi zaidi..
 
Kaka hiyo sio android window awatoi huduma hizo,arafu lazima uwe na account ya market ndio uweze kuitumia
 
Back
Top Bottom