Kifimboplayer
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,542
- 717
Je, umemwelewa mtoa mada?!Download Kaspersky kisha install kwenye PC yako. Scan. Hii ni nzuri na inapiga kazi hata kama ni trial
nashukuru mkuu nitajaribuDownload Kaspersky kisha install kwenye PC yako. Scan. Hii ni nzuri na inapiga kazi hata kama ni trial
Hawa heroset ni cryptovirus wanapoaffect file hawaondolewi na antivirus kwani antivirus haidecrypt file na sio kazi yakeHabari wadau wa jukwaa hili pendwa.
Nimekuja kwenu kuomba msaada ni namna gani naweza kurudishia files zangu zilizokuwa affected na virus aitwae helroset. Huyu virus aliingia kwa njia mtandao nilipokuwa na download program.
Mwanzo nilichukulia ni tatizo la kawaida nikidhani naweza kupiga window na tatizo litakwisha kwa sababu files nimetunza (partition) local disk d, lakini hata baada kupiga Windows nyingine tatizo liko palepale kilichobadilika ni icon na file hazifunguki.
Ni imani yangu kwamba kupitia jukwaa hili kuna wataalam walishakutana na tatizo kama hili, kupitia kwao naomba msaada.
@mathsjery nimefanikiwa kuidownload ila iko zippedHawa heroset ni cryptovirus wanapoaffect file hawaondolewi na antivirus kwani antivirus haidecrypt file na sio kazi yake
Una option ifuatayo.
Tumia decryption tool kudecrypt file zako ambazo ni encrypted hii unaweza nunua maana za free version Zina mapungufu hasa kwenye file zilizo affectiwa na cryptovirus walio tengenezwa na algorithm kubwa kama rsa au aes.
Test hii tool unaweza download na Kisha extract then install Kisha scan PC yako na ita decrypt file zote zitasoma Kama Kawa but note Kama ikishindikana Kufanya hivyo kwa 100% basi nunua full version au tafuta cracked
Quick heal
Note:
ukipiga window bila kuweka partition yoyote kwa mara ya kwanza yaani full disk au unaformat yote utawaondoa na unaweza tengeneza partition mpya.
Ila file zako huzipati Tena hata ukitumia recovery software
Issue ni kuwa makini unapodownload file
Pia jaribu kuangalia ile file ulodownload utakuta lina extension ya herosite.
Tumia WinRAR@mathsjery nimefanikiwa kuidownload ila iko zipped
nitumie program gani kuinstall
msaada tafadhari
Si kweli, hiyo ni Kama huwezi afford bei ya decryption software/tool pia ukiwa na ujuzi mzuri wa kutumia tool kufanya decryption Ni simpleHata mm pia PC yangu ilishambuliwa na .norvas mwaka huu nimejaribu njia zote kwa watu wote nimeshindwa... Pia niliandika uzi huku ila sikupata msaada. Hapo ishu ni kufuta yote na kuanza upya
Si kweli, hiyo ni Kama huwezi afford bei ya decryption software
Ni kweli but nimetoa software hapo kwa link baadae ntatuma complete decryption tool haya ma ransomware yanatoka simple mno anaweza jaribu McAfee ransomware decryption tool iko poa lakini atatakiwa Kufanya some command mbali na ile ya kwanza hata hivyo unaweza ipata kwenye site ya McAfee maana mambo Ni mengidecryption software ni 1000 $ ,it is unfair price
Ni kweli but nimetoa software hapo kwa link baadae ntatuma complete decryption tool haya ma ransomware yanatoka simple mno anaweza jaribu McAfee ransomware decryption tool iko poa lakini atatakiwa Kufanya some command mbali na ile ya kwanza hata hivyo unaweza ipata kwenye site ya McAfee maana mambo Ni mengi
please run application as administrator imeniletea ujumbe huoTumia WinRAR
Processing Download Request - ALLPCWorld
https://allpcworld.com/?s= Our high-speed Linux dedicated servers have received your request, which will be processed shortly. After your request is processed it will automatically start downloading the requested file on your computer. We recommend you to download the files with some good...allpcworld.com
Naam run as administrator then fuata maelekezoplease run application as administrator imeniletea ujumbe huo
mkuu inawezekana mlolongo wake ukawa mrefu?
Ndio zipo za kulipia ila hiyo ya McAfee Ni free, kuhusu accuracy iko fresh kwani Kama haukuzifuta data zilizo affectiwa all will be decrypted through scanning but also hii McAfee kuwa mjuzi kidogo wa command.Mkuu mbona kama unaelekea elekea aise,umeanza kunipa hope,hizo software bado sijazi access hapa maana natumia sim vp ni za kulipia online ? Na vipi accuracy yake katika kufanya kazi isije kuwa 50/50
asante mkuu nitapofikia nitakupa mrejeshoNaam run as administrator then fuata maelekezo
note: usirun kawaida kwa kudouble click
ushawahi kukutana nao?Asee hatari sana hao.
Hapana mkuuushawahi kukutana nao?