Kifimboplayer
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,542
- 717
Habari wadau wa jukwaa hili pendwa.
Nimekuja kwenu kuomba msaada ni namna gani naweza kurudishia files zangu zilizokuwa affected na virus aitwae helroset. Huyu virus aliingia kwa njia mtandao nilipokuwa na download program.
Mwanzo nilichukulia ni tatizo la kawaida nikidhani naweza kupiga window na tatizo litakwisha kwa sababu files nimetunza (partition) local disk d, lakini hata baada kupiga Windows nyingine tatizo liko palepale kilichobadilika ni icon na file hazifunguki.
Ni imani yangu kwamba kupitia jukwaa hili kuna wataalam walishakutana na tatizo kama hili, kupitia kwao naomba msaada.