Msaada wadau, University admission capacity:

Capacity check kwenye list of approved programs iliyotolewa na TCU. Namba ya waliokwisha apply sidhani kama mwaka huu unaweza kupata labda uombe chuo husika kikupatie-ilikuwa inapatikana CAS lakini kuanzia mwaka huu 2017 imesambaratishwa.
 
Poa poa mdau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom