Msaada wadau, tecno yangu spark 3 imekata network line 2 ghafla tu.

Msaada wadau, tecno yangu spark 3 imekata network line 2 ghafla tu.

mudi juma

Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
64
Reaction score
77
Habari , natumia simu aina tecno spark 3 kama mwezi sasa, ila juzi line slot 2 ambayo nimeweka laini ya tigo haisomi mtandao badala yake inaonyesha majina tu na msg zake zilizoingia zamani, nashindwa kujua imekuwaje na solution yake ni nini. Mwenye ujuzi na hii ishu naomba msaada wako. Asante.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ipeleke dukani uliponunua kama unayo risiti
 
tigo inasumbua sana leo, tatizo hilo limenikuta nami pia
 
Back
Top Bottom