Msaada wadau tatizo la taa ya standby

Msaada wadau tatizo la taa ya standby

rarsaid

New Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Naomba msaada kwa anae fahamu, tatizo ni kila niwashapo desktop yangu ushindwa kuwaka na badala yake uonyesha taa ya standby wakati wote.
 
Msaada wadau naomba munijulishe njia ya kurekebisha tatizo, ikiwa ukizima data kwenye smart phone, inatokea inazima kwamuda na baadae ina jiwasha?
 
Back
Top Bottom