Msaada: Wadau PC yangu haifungui Browser yeyote ile

Habari,

Wadau PC yangu (Dell) haifungui browser yeyote ile mfano Mozilla, opera na Google chrome.

Nifanyeje?
Computer kama browsers ghafla zinakataa, always ni virus, adwares, au spywares. Tatizo watu mnakamatwa sana kirahisi, unakuta umedowload na ku-install hayo maprogram bila kujua. Inabidi u-download adware removal program kali sana kama Malwarebytes. Itakusaidia.
Nyingine nzuri hizi hapa, ila malwarebytes ni tops na ikishindwa hio, basi tena. Nyingine zinaweza shindwa, ila malwarebytes never fails sababu it is heavily updated.
Malwarebytes
Spybot
Avast Antivirus
AdwCleaner
HitmanPro
 
Computer kama browsers ghafla zinakataa, always ni virus, adwares, au spywares. Tatizo watu mnakamatwa sana kirahisi, unakuta umedowload na ku-install hayo maprogram. Inabidi u-download adware removal program kali sana kama Malwarebytes. Itakusaidia.
Nyingine nzuri hizi hapa
Malwarebytes
Spybot
Avast Antivirus
AdwCleaner
HitmanPro
Kwahyo smadav si kitu kama antivirus??
 
Kwahyo smadav si kitu kama antivirus??
Hata kapersky watu wanatumia sio top notch. Problem ni kwamba viruses, adwares, spywares zinakuwa updated kila siku to overcome the anitviruses. Ni kama wezi, kila siku wanakuja na njia mpya, sasa ni juu yako kuwa na silaha kabambe nawe pia ujidhibiti. Viruses wanazifanya kwamba zishinde antiviruses. Na ndio maana kama kapersky wala haitaondoa viruses vizuri. Wengi inawashindwa. Sasa only few programs kama malwarebytes wanapambanaga jicho kwa jicho na hao viruses makers. Wakizi-update virus zao, nao wanaupdate kinga ya antivirus.
 
OK. I catch you
 
Back
Top Bottom