Msaada: Wadau PC yangu haifungui Browser yeyote ile

Inakupa ujumbe gani?

Kama unatumia source ipi. Kupata network?
 
Kuna virus mmoja anablock internet unaeza pita kwa raia na wasiweze kujua tatizo
 
NA MIMI NA SHIDA INAYOFANAN NA HII YA MWENZANGU NA TUMIA HP NOTEBOOK 15 PC YANGU INA SUMBUA UPANDE WA INTERNET HASA WAKATI WA KUDOWNLOAD UNAKUTA KITU KINA MB 4 TU NA MTANDAO NI 4G ILA INATUMIA HADI DAK 10 AU 15 KITU CHA MB 200 KINATUMIA MASAA 3 HADI MSAA 4 SASA USIJE JARIBU CHA GB 1 UNAWEZA KULIA JE NAULIZA NN ITAKUWA TATZO MAANA NIMESHA TUMIA WIFI,ROUTER(UNIVERSAL 4G) NINAYO MODEM YA 4 G NAYO NI UNIVERSAL YA HUAWEI YAAN YOTE N YALE YALE ILA ILI TATZO LA KUWA KUNA TATZO UPANDE WA KUDOWNLOAD LILIKUJAA BAADA YA TCRA KUFUNGULIA MITANDAO ILA KABLA YA UCHAGUZ ILIKUWA INAKIMBIZA FRESH TU ILIKUWA INAPELEKA HADI 4M PER SEC ILA SASA HV HAKUNA KITU.
 
Wakuu makao makuu ya ofisi wamefungia access ya net zaidi ya kupost data za kazi tu

Je nifanye nini ku unlock
Suluhisho lililo salama ni kutumia HotSpot kutoka kwenye smartphone yako Boss,kama ofisini kwako unatumia pc ambayo haina wifi anza kwa kununua usb wifi dongle inauzwa 10k tu kisha una connect na HotSpot kutoka kwenye simu yako kisha fanya yako bila lawama.
Kinyume na hapo vyovyote utakavyofanya ili uendelee kupata internet access ya ofisi ambayo ipo restricted utakuwa umeifanyia ofisi hujuma (wizi).
 
Haifunguki kbs
Sorry.
Ulifanikiwa? Na unaposema haifunguki kabisa ni browser haifunguki yaani ukiclick kwenye icon yake haiji au inakuja ila url unayoiweka inakataa kufunguka?
Kama url ndio inakataa kukupeleka ktk page husika ni hauna connection ya internet, eidha mtandao wako hauko sawa au bando au haujakonnect vizuri....
Kama ni suala la browser ukiclick icon yake na haifunguki, jaribu browser zingine...
 
Sikufanikiwa!
Ni icon niclick haifunguk KBS.

Na shida ni hizo browser ila app zingine zinafunguka!
 
Ok..
Pole. Ni mashine mpya? Kama sio mpya naamini umewahi tumia hizo browser na zilifanya kazi. Je kuna program umeiweka hivi karibu na baadae umeanza ona browser hazifunguki? Unatumia os windows gani? Kama ni wondows 10 update mashine yako iwe na latest updtates...
Kama huwa unaiupdate jaribu kutoa updates mpaka siku ambayo browser ilifanya kazi...
Pia jaribu kudisable antivirus uone kama zitafunguka...
 
OK ahsante kwa ushauri!

Mashine si mpya, natumia window 10
Sioni program yeyote mpya niliyoweka japo nimekua nikichezea setting zake na kurun option tofauti tofauti!
Mfano nilikua na Mozilla Firefox ilivyozingua kufunguka nikaifuta ndo nikabaki na Google chrome na opera

Nitajaribu hizo option ulizonipa!
 
Mozila uliofuta kwa mtindo gani?
 
Back
Top Bottom