Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,539
- 1,582
Boss walikupa jibu ya hii kitu?Nimefungua account kwaajil ya kuomba mkopo HESLB lakin niki login as register inaniandikia kama hivi.View attachment 2731013
Boss walikupa jibu ya hii kitu?Nimefungua account kwaajil ya kuomba mkopo HESLB lakin niki login as register inaniandikia kama hivi.View attachment 2731013
Mkuu mbona hapo juu kuna pendingSi hii ndugu?View attachment 2731531
Ilikuj ikakubali yenyeweBoss walikupa jibu ya hii kitu?
Hiyo ni namba utakayopata baada ya kupata online RITA verification ya cheti chako cha kuzaliwa. Format yake ni kama hii "Application code 230626Q0986-BV". Kama huja-verify cheti cha kuzaliwa huko RITA, basi huwezi kuendelea. Pole.Hivi na sehem ya kujaza birth verification number unajaza ipi iyo ? Au ile entry number?
Mkuu ikiwa approved pending inatakiwa kuwa 0Ilikuj ikakubali yenyewe
Mkuu ukishaupload hizo page comfirm inakuja pale juu na rangi inakuwa ya njano baada ya confirmationIle sehemu ya kuapload page ya 2 na 5 inasumbua kinoma haileti sehemu ya kuconfirm....maana rangi si inabidi iwe ya kijani
Ni kwel upo sahii .ila niliomba kingine ndio mana ikaonyesha pendingMkuu ikiwa approved pending inatakiwa kuwa 0
Rangi si inabidi iwe ya kijani...inakuja button kabisa ya confirm au unaongelea submit?Mkuu ukishaupload hizo page comfirm inakuja pale juu na rangi inakuwa ya njano baada ya confirmation
baada ya muda gani ilikuja kubali?Ilikuj ikakubali yenyewe
Ehee inakubali inatakiwa hiwe hivi hyo stutus bar yakoUkimaliza kuomba mkopo sehemu ya ku finish and submit your form inakubali kwenu?
Iyo iyo siku moja jion hvi ikakubalbaada ya muda gani ilikuja kubali?
Ukimaliza kuomba mkopo sehemu ya ku finish and submit your form inakubali kweni
Naomba kuuliza ivi cheti cha kuzaliwa na cheti cha mdhamini unaviapload wapIle sehemu ya kuapload page ya 2 na 5 inasumbua kinoma haileti sehemu ya kuconfirm....maana rangi si inabidi iwe ya kijani
Naomba kuuliza ivi cheti cha kuzaliwa na cheti cha mdhamini unaviapload wap
Walihitaji verification number kutoka rita peke yake...!Hiyo itawasaidia ku link vyeti/taharifa kutoka kwenye mifumo ya rita kama watahitaji.Nadhani wame simplify zaidi kwa mwaka huu ukulinganisha na miaka ya nyuma japo system haijakaa vizuri.mwenye majibu kamili atusaidie hapa na mimi hapa mpk nimeattach zile documents mbili lakin hiyo sehem ya kuapload chet cha kuzaliwa sijaiona
Walihitaji verification number kutoka rita peke yake...!Hiyo itawasaidia ku link vyeti/taharifa kutoka kwenye mifumo ya rita kama watahitaji.Nadhani wame simplify zaidi kwa mwaka huu ukulinganisha na miaka ya nyuma japo system haijakaa vizuri.