manpower
Member
- Sep 28, 2014
- 74
- 12
Aim kuwa bora katika masomo yako then hautokuja kujutia , by they way ingia google and youtube learn more about gis ina application kila pahala , naifahamu hiyo kitu na nimebobea katika hiyo kitu, bila shaka unaenda cive udom ila wataalamu wake wanapatikana pia coes udom bsc geoinformatics ndio kitovu sahihi cha gis.Ok kumbe dili hii koz je mtu akiishia diploma ya hii kitu,anaweza kuajiriwa,au mpak degree?