Msaada wadau kuhusu kusoma kozi ya ICT

Zeru

Senior Member
Jul 20, 2018
186
64
Habarin,wadau mm ni mwanafunzi niliyemaliza form IV mwaka juzi nilikuwa ninatak kusom koz ya ICT kwa ngaz ya cheti,ila kuna kitu kinanitatiza maan kuna watu wananiambia hii koz n yeboyebo,watu wengi usihisome utaishia mtaani,naomben ushauri ndugu zangu.
Form iv nilipata hiv:
Civ-D
Engl-C
Math-D
Bios-C
Geo-D
KiswD
Hist-F
 
Ni kweli ila angalia wewe mwenyeo mapendeleo yako unataka kusoma nini cha muhimu ujiongeze tu utakula hela sana. Ila ukingoja ajira serikalini utangoja sana.
 
Mimi bro napenda ICT cc kuna watu wananiambia bora uchukue koz za biashara hii eti haina ishu cc hapo bro nik njia panda
 
Ni kweli ila angalia wewe mwenyeo mapendeleo yako unataka kusoma nini cha muhimu ujiongeze tu utakula hela sana. Ila ukingoja ajira serikalini utangoja sana.
Ila mm ninachojua kila koz kwa sasa ajira ni ngumu,sasa hawa watu ciwaelew wanasem ukipiga ICT utaishia kupiga window pia kuingiza nyimbo cc sijui kuna ukweli bro hapo
 
Soma kile ambacho unapenda ndipo utakapokuwa na hamu ya kufanyaakubwa katika hicho unachopenda. Hyo biashara pia nayo ni majanga makubwa tena sana kwa saivi.
 
Utafutaji wako na uhangaikaji wako ndio utakaokupa pesa bro.
 
Soma kile ambacho unapenda ndipo utakapokuwa na hamu ya kufanyaakubwa katika hicho unachopenda. Hyo biashara pia nayo ni majanga makubwa tena sana kwa saivi.
Kweli kabisa bro je ni field gan ya IT ambayo mtu akiwa mjanja nayo itampa mtu uwanja mkubwa wa kujiajiri au kuajiriwa bro
 
NNenda pale chuo cha maji Ubongo i thin unaweza kudahiliwa kwa hcho kiwango chako
 
Habarin,wadau mm ni mwanafunzi niliyemaliza form IV mwaka juzi nilikuwa ninatak kusom koz ya ICT kwa ngaz ya cheti,ila kuna kitu kinanitatiza maan kuna watu wananiambia hii koz n yeboyebo,watu wengi usihisome utaishia mtaani,naomben ushauri ndugu zangu.
Form iv nilipata hiv:
Civ-D
Engl-C
Math-D
Bios-C
Geo-D
KiswD
 
Habari wadau!

Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne mwaka 2016 nilikuwa ninataka kusoma kozi ya ICT kwa ngazi ya Astashahada, ila kuna kitu kinanitatiza maana kuna watu wananiambia hii kozi ni yeboyebo

Watu wengi usihisome utaishia mtaani naombeni ushauri ndugu zangu.

Kidato cha nne nilipata hivi:
Civ-D
Engl-C
Math-D
Bios-C
Geo-D
KiswD
Hist-F
 
Ushauri mabibi na mwabwaa nilikuw ninaomba ushauri mm n mwanzafunzi niliyemaliza form iv mwaka juzi ila niliapply vyuo viwili ambacho n chuo cha ardhi cha morogoro kwa koz ya geomatics ila wameniambia hii koz imejaa ipo ya urban and reginal planning ndio mpya wamesem ndio naweza kusoma hivyo hivy pia niliapply ten chuo cha udom kwa koz ya ICT nimeshaguliwa pia kusoma,sasa wandugu naombeni ushauri niende koz ya mipango miji au ICT.
 
MKUU SASA TUTAKUCHAGULIA VIPI WAKATI HATUJUI UWEZO AU AFYA YA AKILI YAKO!!!??
 
Back
Top Bottom