Msaada wadau kuhusu kusoma kozi ya ICT

Msaada wadau kuhusu kusoma kozi ya ICT

Ushauri mabibi na mwabwaa nilikuw ninaomba ushauri mm n mwanzafunzi niliyemaliza form iv mwaka juzi ila niliapply vyuo viwili ambacho n chuo cha ardhi cha morogoro kwa koz ya geomatics ila wameniambia hii koz imejaa ipo ya urban and reginal planning ndio mpya wamesem ndio naweza kusoma hivyo hivy pia niliapply ten chuo cha udom kwa koz ya ICT nimeshaguliwa pia kusoma,sasa wandugu naombeni ushauri niende koz ya mipango miji au ICT.
Technology is the future , it is one of area where employment opportunities are growing exponentially , it is expected by the year 2020 to increase even more it pays well and is the only field which has higher career satisfaction , one thing you need to ask yourself are you really interested to pursue career in technology , bacause technology changes everyday , so one need to keep himself updated everyday with new technology and trends being invented everyday, it is very painful if you are only after money then you have to bear the burden of learning non stop , also you need to master the skills otherwise you may end up home with your certificate on your hand because this field is all about skills not how well you have performed academically
 
Okay bro i get you
 
Habarin wandugu,nilikuwa ninaomba msaada wadau,kuna dogo langu amechaguliwa pande za UDOM kwa koz ya GIS level ya diploma,market yak ipoje,au ndio kama koz za IT
 
Course nzuri sana hio, na kwa diploma atakuwa yuko vizur sana akijiendeleza na degree.

Saiv wanaitajika sana hawa watu kwenye ujenzi wa bomba la gas.

Goodluck
 
Je bro hii koz inahusiana na issue za survey au inakuje.

Goodluck
 
Inahusiana na issue za survey au inakuj bro
 
Course nzuri sana hio, na kwa diploma atakuwa yuko vizur sana akijiendeleza na degree.

Saiv wanaitajika sana hawa watu kwenye ujenzi wa bomba la gas.

Goodluck
Inahusian na issue za survey au inakuaj bro
 
GIS itamfaa kwa tunakoenda na jinsi Tz ilivyokuwa haijakaa kimpangilio nadhani kutakuwa na fursa mbeleni.

Binafsi nime attend trainings kadhaa za GIS ni kitu moja interesting na nzuri sana kwa planners/surveyors.
 
GIS ni Geographical Information system???
Kama ni yenyewe muache asome ni Nzuri. Ina kazi maeneo ya Land survey, Real estate planning na halmashauri huko kwenye kupima viwanja. Ni cozi mpya mpya. So asome tu kwa ushauri wangu
 
Ok kumbe dili hii koz je mtu akiishia diploma ya hii kitu,anaweza kuajiriwa,au mpak degree?
 
Basically ni collecting Geographical data and mapping it using geo-softwares. Na ukisema survey utakuwa sahihi kidogo.
Ok kumbe dili hii koz je mtu akiishia diploma ya hii kitu,anaweza kuajiriwa,au mpak degree?
 
Gis ni very wide course huwezi kusoma yote ukamaliza ni lazima u specialize kwenye kitu kimoja ,
ushauri wangu kwa mtu anasoma hizi course awe tayari kwenye shirika,kampuni,halmashauri au kokote anasoma gis Ku specialize kwenye proffesion yake mf mtu wa ardhi ata specialize Gis for land management, mtu wa forest ata specialelize gis for forest management ,hivyo hivyo pia kwa watu wa wildlife,climate change ,hydrology , water especialist na engeneers pia watasoma gis na kuspecialize kwenye professional zao

Back
Top Bottom