inategemea na pc yako ni aina gani.Kamata(bonyeza usiachie) Batani kwenye keyboard yako iliyoandikwa fn halafu bonyeza na batani iliyoandikwa prt sc,halafu unaachia zote au kwa maneno mengine unabonyeza hizo batani kwa pamoja.
Ukishafanya hivyo fungua paint na u paste huko then save ktk namna unayotaka.
Zingatia baadhi ya pc unabonyeza ctrl + prt sc au alt + prt sc