Wakuu naombeni msaada yeyote anayefahamu jinsi ya kuzipata zile activities zinazoandikwa kwenye Memorandum of Association.
Najua zile huwa hawazitungi maana nimepitia baadhi nyingi naona zina viingereza vilivyoenda shule kwa hiyo nina uhakika kuna mahali wanazitoa halafu wanaedit.
Jua Kampuni yako itahusika na nini then uandike objective, hamna mtu anayekopi sehem labda kama ni LAYPERSON, kwa msaada Tafuta Corporate Advocate mlipe vizuri afanye hiyo kazi.