MNYAMAKAZI
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,118
- 2,199
Mtafutie toy litakalomfanya acheze sana ili azidi kuchangamka
toy zipo nyingi tu
Hii ndiyo kila kitu aiseee kwa mtoto ambae anakua.
Nadhani bike inamfaa
Mkuu the Boss heshima kwako, hilo litoy linanini ambacho kitamfanya alipende na kuenjoy kulichezea? Lkn pia kwa mazingira ninayoishi hayana nishati ya umeme kwani matoy mengi yanahitaji umeme ili yafanye kazi, kwangu hilo nalo ni changamoto nyingine.
Toys za kumfanya atumie akili mfano kutengeneza mnara, kupanga namba
Toys za kumfanya atumie akili mfano kutengeneza mnara, kupanga namba
Muonjeshe Kitwanga hata pafu moja tu nae afurahi kama wanavyofurahi wazazi wake!
Mtafutie baiskeli ya magurudumu ma3 aendeshe endeshe
Akifika 4yrs ndo umtafutie ya ukweli, atakuwa anajuwa kudrive at the same time atakuwa fiti sana kimwili na kiakili manake atakuwa ashafanya mazoez sana
Akaunti za watoto zipo takriban bank zote, ukianza na hiyo laki mbili nmb junior, junior jumbo nk. hatapata taabu ya kusumbuana na HESLB some years in the future. Hiyo itakuwa zawadi mojawapo na haitakamilika bila kumpa upendo na malezi bora. Jambo lingine muhimu saaana kwa afya ya akili yake ni kumpenda mama yake.
Kwa Dar es salaam napafahamu mwenge kuna maeneo wanauza kazi za sanaa mbalimbali kama picha, "mwanasesere"/midoli, vinyago n.k kuhusu hivyo vingine kama jigsaw puzzle madukani wanauza waweza nunua hata rubic's cube, puppy ni mnyama/kitu kinachoweza kuishi na mwanadamu na kujenga nae affection nisamehe kiswahili sikijui vizuri sana ila mbwa, paka ama hata samaki wa urembo ni puppy wazuri tu.....hasa kama ana samaki wa urembo akiwaangalia mda mrefu atakuwa na " why" nyingi akilini.Nashukuru kwa mawazo yako na mchango wako mzuri na mhimu ktk malezi ya watoto wetu naamin wengi pia watajifunza kutokana na uzi wangu huu.
Je vitu vyote ulivyovijata najua vingine naweza Pata madukani ila hilo la Picha nzuri naweza ipata wapi?
Je hiyo puppy ni kitu gani na inapatikana wapi na inaweza kugharimu kiasi gani ukirejea budget yangu iko limited
Dah hiki nitakipata wapi. Kitamfaa mwanangu.
Kwa nyumbani Tanzania sifahamu, lakini sio mbaya ukijaribu Mlimani City labda unaweza fanikiwa.Mkuu HARUFU heshima kwako, nashukuru kwa mchango wako wenye kuonekana, nimeipenda sana na naomba unielekeze nitazipata wapi na kwa gharama kiasi gani?
Sister kama upo nje ya nchi hayo makorokoro (Toys) ukienda duka lolote la vitu vya watoto unakutana nayo, kuanzia Prams, Strollers, Walking rings, nk. Muhimu ni kutafuta section ya makorokoro unayoyatakaDah hiki nitakipata wapi. Kitamfaa mwanangu.