Msaada wa xtouch X1mini na xperia M

Msaada wa xtouch X1mini na xperia M

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,426
Reaction score
3,309
Wataalam wa jukwaa hii cm hapa chini ni zaidi ya Xperia M au ziko sawa? nataka kununua sasa kuna mtu kaniletea nichague

Xtouch X1 mini.

System Android 4.1
CPU MTK6572 1.2GHz Dual Core
GPU Mali-400
Memory 512MB
Storage 4GB
External Storage Support 32GB Micro SD Card
Display
Screen Size 4inch
Resolution 800x480 Incell Screen
Touch Screen 5 points Capacitive Touch Screen
Camera Front camera 0.3 Megapixel,back
camera 5 Megapixel
Power Source
Capacity 1500mAh lithium battery
Battery Type Rechargeable Lithium Battery
Recharge Type Adapter or USB Cable
Charger Type 110V-220V Input,5V,DC 0.5A Output
Connection
2G GSM 900/1800
3G WCDMA 2100
WiFi 802.11b/g wireless internet
Bluetooth Bluetooth 4.0
I/O
SIM card Dual SIM Cards
Audio 3.5 mm standard OMTP
Mic & speaker Inside
USB Micro USB
Function
Audio
3.5 mm OMTP MP3,OGG,AAC,etc,LRC
lyrics synchronizing,Photo
Album,Stereo speaker
Video
AVI, MKV(XVID/px/H.264), MOV, TS,
M2TS, RM/RMVB, FLV,3GP, MPEG,
DAT, MP4(support to
1080P:1920x1080)
Language Arabic, English,
Spanish,French,German,etc.
Business
Office software,Arabic
keyboard,Skype,QQ, MSN,Skype,G-
talk,Yahoo,Gmail,Hotmail
GPS Support
Gravity Sensor Support
Proximity Sensor Support
Light Sensor Support
Others
Color White, Blue
Dimensions 122.8*64.3*8.6mm
Weight 89g

Maelezo ya Xperia M yalishawekwa humu jukwaani.
 
kaka hii simu hata robo haifikii xperia m.

processor.

hii inatumia processor ya cortex a7 tena ya mediatek wakati xperia m ni krait ya qualcom. perfomance imezidiwa mara 2 au zaidi na xperia m.

gpu
inatumia mali 400 wakati xperia m ina adreno 305 hapa pia imezidiwa tena

ram
ina ram 512 wakati xperia m ni 1gb hapa pia kazidiwa.

na pia wamedanganya hapo juu chip iliotumika haina uwezo wa kuhandle full hd yani 1080p inaishia 720p tu.

nafkiri hamna haja ya kuendelea.

simu hii sababu ni mchina haitakiwi kuzidi laki 2
 
Mkuu chief dubai wanauza 400 AED ambayo ni sh. 180000/-za kibongo
Na Xperia m Wnauza 750. AED ambazo ni kama 330000/- za kibongo kwa hyo bora aniletee XpM.
Lakini kamzidi huyo huawei Y300?
 
Mkuu chief dubai wanauza 400 AED ambayo ni sh. 180000/-za kibongo
Na Xperia m Wnauza 750. AED ambazo ni kama 330000/- za kibongo kwa hyo bora aniletee XpM.
Lakini kamzidi huyo huawei Y300?

hizo bei mkuu ni sawa sawa zinadeserve kabisa.

xperia m ni gaming phone (weakness yake ni hio internal ya 4gb) kama unatumia sana games na apps chukua hio hutapata simu bora kama hio kwa hio bei.

ila kama bajeti ni ndogo sio mbaya xtouch pia nzuri kwa bei hio (kuliko kununua overpriced tecno)
 
Nmekupata
 
kama kawaida unaidiss tecno....
 
kama kawaida unaidiss tecno....

Mkuu njagi kwa nn chief aikatae tecno? Labda sio simu imara kulingana na bei na wakati mwingine ni watu kulazimisha ubora wa mfano htc samsung lg apple kuweka kundi moja na Tecno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom