Msaada wa WhatsFapp WhatsApp plus

Sina uhakika na baadhi ya izo features nyingine ulizotaja hapo za WhatsApp gb. . . naitumiA kwa muda mrefu sasa ila sijaona huo utumaji wa picha 90 mara moja
 
Ndio inauwezo wa kutuma, tena sio 90 tu, Bali zaidi ya 90 kwa mara moja
 
gb whatsap iko poa sana.... kama kuna mtu anaitaka anichek inbox nimtumie.... NOTE:kuwa na telegram ni lzma ili niweze kukutumia
Si uweke link yake apa kwa faida ya wote master.
 
Jamani wandugu msahada.....mm simu yangu inaonyesha imejaa....hivyo whasap ikawa haifanyi kazi inanitaka kuupdate sema kutokana na ukosefu wa nafasi kwenye simu nikachukua microCd ya 2Gb....ila bado inakataa kudownlodiwa nifanyeje?
 
Mkuu mbona inaleta mambo ya kupakua DU BATTERY tena wakati mimi tayari ninayo hiyo DY BATTERY? nifanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…