Tujue umri wako kwanza
Kwa hiyo ndio umeambiwa huku MMU kunafundishwa hilo somo?
Mabazazi kweli yako mengi na yako na style tofauti tofauti.
Swali la kwanza: Umeambiwa ukifanikiwa kutoa hiyo bikra utapewa zawadi gani?
Pili: Hapa kuna watu wanaofundisha masomo ya kutoa bikra au zinaa?
Tatu: Umeoa au bado? Na kama hujaoa unajua kuwa ztendo la ndoa kabla ya ndoa ni dhambi?
Umejipangaje kuchomoka kutoka kwenye hiyo dhambi?
ninaomba msaada ni jinsi gani naweza kumtoa b**ra msichana maana sijawai kumtoa hata mmoja! sasa nimekutana na mpenzi mpya ambae ni bikra, nimejaribu kufanya nae zaid ya mara tatu, kila nikijaribu anapiga kelele sana kama vile anataka kufa! chaa ajabu anakubali kuingia mpaka getho lakin kuse** hataki kabisa kabisa, nilipojaribu kuangalia na kumuuliza kwa makini akaniambia kwamba hajawai kufanya mapenzi na mwanaume yeyote. naombeni ushauri nifanyaje ili nifanikiwe ku do nae?
Daah mkuu adi hii kitu unahitaji tutorial?
yes mkuu sijawai hata siku moja kukutana na mtu wa namna hii!