Msaada wa vyuo Arusha

Witiri

Member
Dec 12, 2022
38
68
Habari wananzengo!

Naomba kujua kwa Arusha mjini je, ni vyuo gani vinatoa kozi ya records management na Human resources pamoja au Public Relation? Msaada tafadhali.
 
Habari wana nzengo, Naomba kufahamishwa kwa mnaoifahamu Arusha mjini, naulizia vyuo vinavyotoa kozi za Public Relation, Records au Human Resource. tafadhali
 
Habari wana nzengo, Naomba kufahamishwa kwa mnaoifahamu Arusha mjini, naulizia vyuo vinavyotoa kozi za Public Relation, Records au Human Resource. tafadhali
ingia website ya tcu, tafta undergraduate guide itakupa jibu lako
 
Back
Top Bottom