Msaada wa vitabu vya ujasiriamali

Msaada wa vitabu vya ujasiriamali

Mzigdash

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
440
Reaction score
378
Mwenye kufahamu aina ya vitabu vya ujasiriamali na waandishi naomba anisaidie..
 
Mwenye kufahamu aina ya vitabu vya ujasiriamali na waandishi naomba anisaidie..

Tanabahisha kidogo ili tukusaidie kuvipata, na......
weka aina ya vitabu na vinavyo husu nini.
 
Tanabahisha kidogo ili tukusaidie kuvipata, na......
weka aina ya vitabu na vinavyo husu nini.

Vitabu vyivyote vile vihusuvyo ujasiriamali katika biashara,kilimo,ufugaji,kujiajili mwenyewe..kama mtu anavifahamu msaada tafadhari
 
Bahati mbaya waandishi kwa lugha ya kiswahili wachache na vitabu ni vichache mno. Ila kwa lugha ya merikebu vipo vingi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom