Bado natafuta
Senior Member
- Oct 3, 2021
- 144
- 151
Habari wanajamvi, wakubwa shikamoni.
Naomba msaada wa vitabu vya cryptocurrency.
Naomba msaada wa vitabu vya cryptocurrency.
Naenda YouTubeHabari wanajamvi, wakubwa shikamoni.
Naomba msaada wa vitabu vya cryptocurrency.
Vitabu ndio Safi Kaka nipate introductionNaenda YouTube
Duuuuuh kumbe nako kugumu, vipi ulikua na maarifa kabla ya kuingiaAchana na hizo mambo boss, mm 2022 nilipigwa laki 7 kwa coin ya Shiba Inu. Ss 2025 nimepigwa mil 1.2 na coin ya Pai π. Hayo madude hayana maana tupambane tuache tamaa za kutafuta mafanikio ya haraka
Hivyo vitu havina maarifa yoyote boss ni kubahatisha tu, wahuni wanazi hype inaonekana kama coin yenye Malengo watu wanaingia mkenge wanawekeza then wanachomoa coins zao tayari inadrop kwahiyo atakae muwahi mwezie ndio anaondoka na faidaDuuuuuh kumbe nako kugumu, vipi ulikua na maarifa kabla ya kuingia
Okay asante kwa majibu yako nashukuru Sana. Mimi sifuati kununua coins kaka. Kuna kitu tofauti nakitafuta huko ambacho tofauti na kuhold coins. So kama Una vitabu nipatieHivyo vitu havina maarifa yoyote boss ni kubahatisha tu, wahuni wanazi hype inaonekana kama coin yenye Malengo watu wanaingia mkenge wanawekeza then wanachomoa coins zao tayari inadrop kwahiyo atakae muwahi mwezie ndio anaondoka na faida