tafuta mtu unayemuamini aliyepo Dar akusaidie kufuatilia, usimuamini mtu kwa usawa huu mkuuhapana sipo dar niunganishe na wauzaji hao na vp hiyo list iko sahihi
Hahahaha atakuwa amepata hela ya kujikimu wakati wa lockdown ya Covid-19tafuta mtu unayemuamini aliyepo Dar akusaidie kufuatilia, usimuamini mtu kwa usawa huu mkuu
Multimeter 6000, mm nilinunua elfu 10 ilikaa wiki ikaharibikaScrewdriver kit 10K unapata tweezers, screws, wire cutter, etc
Hot air station kuna ya 70k na ya 150k chukua 70k iko vizuri sana.
Multimeter 6000
Gun kali ni 10000 hata ya 5000 unapata.
BL 7000 glue 5000
Hivi ni vifaa vya msingi sana ukiwa navyo unaanza kazi
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Kampuni gani ulinunua?Multimeter 6000, mm nilinunua elfu 10 ilikaa wiki ikaharibika
Unamaanisha kampuni lililotengeneza?? Kama ni hivo sijui mimi nilinunua kariakoo kwa wale jamaa wanaopanga vitu pembezoni mwa barabaraKampuni gani ulinunua?
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
Msaada wa mawasiliano wa mahali napo weza kupata hivyo vitu na kama uko unapicha ya hiyo hot air station yako plz shareScrewdriver kit 10K unapata tweezers, screws, wire cutter, etc
Hot air station kuna ya 70k na ya 150k chukua 70k iko vizuri sana.
Multimeter 6000
Gun kali ni 10000 hata ya 5000 unapata.
BL 7000 glue 5000
Hivi ni vifaa vya msingi sana ukiwa navyo unaanza kazi
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
OK nimechelewa kupata ujumbe wako kesho nitakutumia cont na pichaMsaada wa mawasiliano wa mahali napo weza kupata hivyo vitu na kama uko unapicha ya hiyo hot air station yako plz share
Sent using Jamii Forums mobile app
nipe mawasiliano yako mkuu najaribu kukupm naona inagomaKwa Uzoefu Wangu
Multimeter Nzuri 25k
Hot Air Blower Nzuri 852, 853 = 120k
DC Power Supply (15V, 3A) = 80k
(Nimekuona Unatafuta Power Supply Ya 10A Mkuu Unahangaika Katika Kazi Hizi Hiyo 10A Hautakuja Kuitumia Ila Kwa Laptop Kama Una Repair Pia Bac Agiza Ebay 400k Kwa Linear, 250k Kwa Switching
30V, 5A)
Tool Set 3 (30k Hapa Unapata Tweezers, Probes Za Multimeter Na Power Supply, Ply Tools)
Vinapatikana:
KARIAKOO AGGREY
KARIAKOO LINDI JENGO LINALOANGALIANA NA INFINIX
VINGINE MBWEMBWE, UKIPATA HIVI NA MTU WA KUAMINIKA DAR UKAWA UNAMUAGIZA SPARE BASI USHATOBOA KWA HII BIASHARA
Sent using Jamii Forums mobile app
+255624410406nipe mawasiliano yako mkuu najaribu kukupm naona inagoma
iko vizuri ukiielewa sawa sawa matatizo ni kila kukicha kazi ni nyingi.