Wakuu habari za muda huu natumai hamjambo.
Naombeni msaada wa kimawazo kati ya hizi njia mbili za kusafirisha mawimbi ya picha na sauti ya chaneli kwenye umbali wa km3 ni njia ipi ni ya gharama nafuu
Njia ya kwanza kwa kutumia cable
Na ya pili kwa kutumia video sender
Chaneli ninazotarajia kuzisafirisha ni kumi tu hii si kwa ajili ya biashara ni bure, hivyo kwa mzoefu wa maswala haya naomba msaada.