Msaada wa vacum cleaner accessories

johnian

New Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1
Reaction score
1
Habari za mapambano wadau
Mimi ni mjasiliamali nina cleaning solution ambayo nategemea kuifanya kua kampuni mdogo mdogo. Nilinunua wet vacum cleaner ya total na ikaja na accesories zake kwa bahati mbaya kuna baadhi ya accesories kwa ajili ya sofa cleaning sikuzipata
Tafadhari mwenye kujua wap naweza pata au muuzaji plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…