msaada wa ushauri

msaada wa ushauri

Iddimarisa

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
29
Reaction score
4
nina ndugu yangu anayeogopa sana madem hata kukaa na dem kumtongoza hawezi na yuko form 6..je nikimtongozea dem nitakuwa nimempa msaada ?
 
..je nikimtongozea dem nitakuwa nimempa msaada ?

Kabla, naomba nikuulize maswali haya:
Je huyo ndugu yako alikuambia umtafutie m/ke?
Halaf jee huyo ndugu yako hawezi hata kumalizia ingawa anashobokewa?
 
Back
Top Bottom