BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,244
Kuikataa mimba ni dalili mojawapo mbaya sana kwa maisha ya mwanaume wa kweli
Haijakataliwa lkn mtu anasema anayo....kisha kaitoa....halaf anayo...?utamulewaje??
Ukiletewa mimba unajiona mtoto eti unaanza maisha, ila kwenye kutafuna papuchi unajiona mkongwe unabadilisha wanawake tuu... *%$#** weeNilikuwa nadate na mdada flan....kwakweli maisha ndo kwanza nmeanza....lakini katika mazingira ya ajabu akanitegeshea mimba.
Nami nkampa ukweli kuwa sipo tyari kuwa mzazi na pia majukum hayo kwakweli siyawezi kwa mda huu.
Tukakubaliana itolewe....nkamtumia pesa...akaenda kwa dokta(kwa maelezo yake)...akanitumia text kuwa tyr ameshatoa...!!
Kukatokea kutoelewana baadae nkamkaushia....kisha nikatongoza mdada mwngne....sasa yule wa zman kajua...kamtishia yule mdada kuwa aachane na mimi....yule mdada mpya akakataa.
Sasa hivi yule girl wa zman ananambia kuwa ana mimba yngu....ile alonambia kuwa ameitoa...!!
Simuelewi...naomben msaada wa mawazo maana kwakweli kanivuruga.
Ishi na mwanamke kwa akiliHaijakataliwa lkn mtu anasema anayo....kisha kaitoa....halaf anayo...?utamulewaje??
unataka ushauriwe nn??Nilikuwa nadate na mdada flan....kwakweli maisha ndo kwanza nmeanza....lakini katika mazingira ya ajabu akanitegeshea mimba.