ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 220
- Thread starter
- #21
Na yeye alikuwa na wa kwake aliezaa na mtu mwingine ana takribani miaka sita na mimi nilishazaa na mtu mwingine mtoto mmoja piaMtoto hatujapata
Na yeye alikuwa na wa kwake aliezaa na mtu mwingine ana takribani miaka sita na mimi nilishazaa na mtu mwingine mtoto mmoja piaMtoto hatujapata
Mimba hana maana tumetafuta mtoto toka uchumba mpaka tunaoana mpaka sahv navyoongea kamaliza period Jana na kwakuwa hajaondoka bado tuko nyumba moja ingawa kulala ni wiki ya pili sasa kila mtu analala pakeUnaweza kuta ana mimba ya Mwanaume mwingine ila wewe hujui Panua wigo wa Kuona Mkuu....
Mkuuu Kuna vitu viwili hapo, Inawezekana katika uchumba wenu ulimsumbua sana kwa hiyo akaona kitu pekee cha kukuweka umkumbuke na kiwe kitu ambacho huwezi kuja kukitengua kwa kirahisi kutokana na Imani yako ni kukubali kuolewa kwa kubadili dini ambapo kwa upande wake yeye hafungwi na Dini yako..Then baada ya kuwa umekamilisha zoezi hilo ataomba muachane na baada ya kufanya hivyo yeye atarudi kwenye Imani yake na kwa kuwa Wazazi kwa namna moja ama nyingine walikuwa hawakubaliani na Uamzi wake hivyo watammpkea na kumtafutia au kumruhusu kuolewa kwa Imani ya dini yake wakati wewe utakuwa huwezi kufanya hivyo tena.Nashukuru nimeuelewa, ila nashindwa baini alikuwa na lengo gani
Huyo alidhani kuna chance ya maslahi..achana nae..una kipindi kifupi sana..nakushauri kwa wanawake bora uoe mkristo mwenzio tu..mm nnaekushauri ni muislamu..Naandika kwa masikitiko makubwa Sana, nlitokea kuwa na mahusiano na binti wa kiislam kwa muda wa miezi sita nikampenda Sana, mimi ni mkristo, yeye hakuwa na msimamo mkali sana kwenye dini kwaio alibatizwa na akabadiri dini na kuwa mkristo wakati huo yeye ni mtumishi na mpaka anafikia maamuzi ya kuniacha vyeti vyake vyote mpaka faili lake la utumishi vinasoma jina la kwanza la kiislamu, nimemuoa mwezi wa kumi na mbili mwaka jana,mara kwa mara tumekuwa na mikwaruzano ya kawaida ambayo yapo katika mahusiano na toka nimemuoa mpaka sasa kila tukihitilafiana anataka tuachane swala hili limejirudia kwa sasa ni mara ya tatu Mimi sikatai nina mapungufu lakini nae pia ana ya kwake, nilipomuoa vyeti vya ndoa vina jina la kikristo pamoja na cheti cha ubatizo, kwakuwa kwa sasa amekataa kabisa kuendelea kuishi tena na mimi na pia amekataa vikao vya usuluhishi imefika mahali nimehisi nikiendelea kukaza uzi maisha yetu ya baadae hayatakuwa na furaha na mbaya zaidi ni yeye amenikataa sio Mimi, nataka nimruhusu aende Kwa masikitiko makubwa kwakuwa ndoa yetu ina mwezi mmoja you Msaada wa kisheria ninaoomba je itakuwa na athari gani kisheria kwangu Kama nitaendelea na maisha Mengine kwa maana siko tyari kuoa tena kulingana na miiko ya dini yangu lakini nahitaji kutengeneza mali za kutosha na maisha ya baadae(future)
kupenda upofu ila nashukuru pia kwa ushauriTATIZO ULIKUWA NA PAPARA, UNAOAJE MUISLAMU WEWE DOGO WAKAT UNAJUA TATIZO WEW, WA WAPI WEWE DOGO..
Asante naweza hisi hivyoHuyo alidhani kuna chance ya maslahi..achana nae..una kipindi kifupi sana..nakushauri kwa wanawake bora uoe mkristo mwenzio tu..mm nnaekushauri ni muislamu..
Ili ndio wazo kuu..jaribu kufata hiki kitu..utaona mwisho wake utakua ni kutaka kugawana tu na utalijua kwa uwazi ilo lengo..Jibu
Huwezi ukapata jibu kiharaka ila kwa kuwa ameshatimiza lengo lake basi Muachilie tu bila masharti yoyote na usiandike kitu chochote wewe mwambie afanye kile nafsi yake inafaa yaani usiprocess chochote iwe divorce wala vikao
Alikua anamtaftia mtt wake chakula ya kudumuNa yeye alikuwa na wa kwake aliezaa na mtu mwingine ana takribani miaka sita na mimi nilishazaa na mtu mwingine mtoto mmoja pia
Sawa nashukuru chiefIli ndio wazo kuu..jaribu kufata hiki kitu..utaona mwisho wake utakua ni kutaka kugawana tu na utalijua kwa uwazi ilo lengo..