Msaada wa ushauri wakuu

Msaada wa ushauri wakuu

onkoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
514
Reaction score
480
Naomba ushauri ndugu zangu, mimi ni kijana wa miaka 30, nimeoa na nimebatika kupata mtoto mmoja wa kike. Nimepanga nyumba mbezi beach yenye chumba na sebule. Sasa naishi na mtoto wa dada ya mke wangu ambaye pia ana mtoto na pia yupo dada wa kazi ambaye hubaki na watoto pindi tunapoenda kutafta mkate asubuhi. Tatizo ni kuwa huyu binti ya dada wa mke wangu amekuwa na dharau mpaka nakosa uhuru had anadiriki kuingia chumbani tukiwa tumelala mimi na mke wangu bila hodi na kuingilia faragha zetu. Wakati mwingine anaingia chumbani nikiwa pekee angu na huku nimevaa boxer tuu. kitu cha kushangaza nikimwambia mke wangu amrudishe kwao yeye hugoma na kusema hawatamwelewa kwao huku dharau zikiongezeka dhidi yangu.
Sasa huwa nafikiria kuachana na mke wangu maana naona nakosa uhuru kitu ambacho nahitaji uhuru pili kipato changu ni kidogo kias kwamba kuhudumia watu saba kila siku na kwa uchumi huu inanaipa ugumu wa kufanya maendeleo yoyote yale.
NB: mke wangu ni mchaga na Mimi mtu mbeya.
 
Uachane na mkeo kisa intruder? Kweli wanaume wameisha kumebaki wavulana, yaani uache ndoa yako kisa mtoto wa shemeji? Tena mtoto wa kike? Issue ndogo hiyo unaiombea ushauri JF?

Sasa fanya hivi;
1. Tumia sauti ya KIUME kwenye majukumu yakuongoza familia

2. Tumia uume wako kumuonyesha adabu huyo mtoto anayeingia chumbani kwako ukiwa na boxer tu, hata kama sio mzuri fumba macho ubabue.

3. Majukumu ya kuongoza familia hayaangalii dini wala kabila, Uchaga na Umbeya ni NB ya kivulana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo Binti kama anaingia Chumbani huku ukiwa umevaa Boxer atakuwa anataka Dudu
Mpige Machine

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Uachane na mkeo kisa intruder? Kweli wanaume wameisha kumebaki wavulana, yaani uache ndoa yako kisa mtoto wa shemeji? Tena mtoto wa kike? Issue ndogo hiyo unaiombea ushauri JF?

Sasa fanya hivi;
1. Tumia sauti ya KIUME kwenye majukumu yakuongoza familia

2. Tumia uume wako kumuonyesha adabu huyo mtoto anayeingia chumbani kwako ukiwa na boxer tu, hata kama sio mzuri fumba macho ubabue.

3. Majukumu ya kuongoza familia hayaangalii dini wala kabila, Uchaga na Umbeya ni NB ya kivulana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume kama mabinti,
sasa wewe mwanamke anaingia chumbani kwako, siyo mkeo wala kusema ni dada yako wa tumbo moja, halafu unakuja kuomba ushauri hapa JF, kama humuelewi si unamtimu? kwani amefungiwa pingu hapa kwako? si aende huko kwa aliyempachika mimba? (maana amesema ana mtoto)
mbona inshu simpo tu hiyo, kwanza yuko kwako, mpige mashine akili imkae sawa, au mtimue.
 
Umepanga chumba na sebule,una mke na mtoto,pia yupo mtoto wa dada wa mkeo nae ana mtoto,
Pia una dada wa kazi! mnaishije mkuu watu wote hao 6 kwenye chumba kimoja na sebule?

Ushauri wangu,mwanaume ndiye "Baba wa nyumba" ndiye kichwa cha familia,kama huridhiki na huyo mtoto wa dada wa mkeo basi mpe amri kua aondoke hapo na hayo ndio maamuzi yako,mtimue kabla hajakuharibia ndoa yako,bora lawama kuliko fedheha.
 
Jamaa amejilegeza sana. Anaogopa kufanya maamuz magumu.
Mbona tatizo kama hilo kwangu rahis. Natoa onyo kali.. akizid kibur anasafirishwa kwa lazima. Hawez niletea kibur ndan ya nyumba yangu.
Uachane na mkeo kisa intruder? Kweli wanaume wameisha kumebaki wavulana, yaani uache ndoa yako kisa mtoto wa shemeji? Tena mtoto wa kike? Issue ndogo hiyo unaiombea ushauri JF?

Sasa fanya hivi;
1. Tumia sauti ya KIUME kwenye majukumu yakuongoza familia

2. Tumia uume wako kumuonyesha adabu huyo mtoto anayeingia chumbani kwako ukiwa na boxer tu, hata kama sio mzuri fumba macho ubabue.

3. Majukumu ya kuongoza familia hayaangalii dini wala kabila, Uchaga na Umbeya ni NB ya kivulana sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unalea mke wa mtu,unamlisha,unampa malazi n.k bado anakuonyesha dharau!anataka avunje ndoa yako huyo ndio maana anakuwekea viashiria umtafune;kama unapenda ndoa yako,muondoe haraka huyo binti;na njia rahisi ni kumpatia mtaji mdogo akajitegemee;apange chumba cha bei nafuu na fedha kidogo hata kuuza genge.
 
Naomba ushauri ndugu zangu, mimi ni kijana wa miaka 30, nimeoa na nimebatika kupata mtoto mmoja wa kike. Nimepanga nyumba mbezi beach yenye chumba na sebule. Sasa naishi na mtoto wa dada ya mke wangu ambaye pia ana mtoto na pia yupo dada wa kazi ambaye hubaki na watoto pindi tunapoenda kutafta mkate asubuhi. Tatizo ni kuwa huyu binti ya dada wa mke wangu amekuwa na dharau mpaka nakosa uhuru had anadiriki kuingia chumbani tukiwa tumelala mimi na mke wangu bila hodi na kuingilia faragha zetu. Wakati mwingine anaingia chumbani nikiwa pekee angu na huku nimevaa boxer tuu. kitu cha kushangaza nikimwambia mke wangu amrudishe kwao yeye hugoma na kusema hawatamwelewa kwao huku dharau zikiongezeka dhidi yangu.
Sasa huwa nafikiria kuachana na mke wangu maana naona nakosa uhuru kitu ambacho nahitaji uhuru pili kipato changu ni kidogo kias kwamba kuhudumia watu saba kila siku na kwa uchumi huu inanaipa ugumu wa kufanya maendeleo yoyote yale.
NB: mke wangu ni mchaga na Mimi mtu mbeya.
Pole ila pambana kiume kumbuka ukimfukuza huyo shem wako utaonekana hupendi ndg wa mkeo.

Jitahidi umle mzigo huyo mdogo wa mke wako. Mwombe mzigo nafikiri baada ya kumla mzigo mambo yako yatakuwa vuzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uachane na mke sabab ya binti wa kazi, Grow up bro & play your part kama mwanume unafeli ndugu!!!
Naomba ushauri ndugu zangu, mimi ni kijana wa miaka 30, nimeoa na nimebatika kupata mtoto mmoja wa kike. Nimepanga nyumba mbezi beach yenye chumba na sebule. Sasa naishi na mtoto wa dada ya mke wangu ambaye pia ana mtoto na pia yupo dada wa kazi ambaye hubaki na watoto pindi tunapoenda kutafta mkate asubuhi. Tatizo ni kuwa huyu binti ya dada wa mke wangu amekuwa na dharau mpaka nakosa uhuru had anadiriki kuingia chumbani tukiwa tumelala mimi na mke wangu bila hodi na kuingilia faragha zetu. Wakati mwingine anaingia chumbani nikiwa pekee angu na huku nimevaa boxer tuu. kitu cha kushangaza nikimwambia mke wangu amrudishe kwao yeye hugoma na kusema hawatamwelewa kwao huku dharau zikiongezeka dhidi yangu.
Sasa huwa nafikiria kuachana na mke wangu maana naona nakosa uhuru kitu ambacho nahitaji uhuru pili kipato changu ni kidogo kias kwamba kuhudumia watu saba kila siku na kwa uchumi huu inanaipa ugumu wa kufanya maendeleo yoyote yale.
NB: mke wangu ni mchaga na Mimi mtu mbeya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom