Msaada wa ushauri wa tahasusi ya kusoma

Msaada wa ushauri wa tahasusi ya kusoma

icon_2000

Senior Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
193
Reaction score
276
Nina one ya point 9 PCB nataka ni omba MD naombeni mawazo yenu wadau
 
Omba tu mkuu japo angalia vyuo visivyo na ushindani mkubwa hasa private.
 
PCB mwenye one ya tisa anaweza soma kozi gan nzuri ya afya?
Naombeni maoni yenu ndiyo msaada kwangu🙏🙏🙏
 
Kulivyo na utitiri wa one za sayansi.. nakushauri omba kozi za vyuo vya private tu
 
Back
Top Bottom