Msaada wa ushauri tu

Uachane na hicho kizee kama ulivyo anza nacho maraya wewe
 
ahame mtaa afu abadili na laini, zinaa inakimbiwa

thanks to god the almighty
 
Neno ningejua huja mwisho wa safari.
 
kwa nini alimkubalia ilhali anajua ni mume wa mtu,,, hatari nyingine mnazitaka wenyewe.....now keshamfaidi anaona sio kitu.....ajiandae kwa lolote.......kumuacha ni very simple tuuu....amwambia anataka ndoa.....awe serious.....lazima atachomoa
 
Tafadhali Mjumbe, usituambie kuwa huyo baba hajawahi kumsaliti rafiki yako. Jitu linaloweza kumsaliti mke wa ndoa halitaacha kukusaliti wewe kinyago mpita njia. Wote wawili mkitaka muachane kwa amani na huyo mzee, rudisheni nusu ya gharama zake maisha yaendelee.
 
Tatizo dogo,ongea na huyo mwanaume kwa utaratibu na umwambie kwa umri ulionao sasa unahitaji mume wa kufunga naye ndoa na hauko tayari kumuharibia ndoa yake;nadhani atakuelewa na maisha yataendelea.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…