Msaada wa ushauri tafadhari!

Msaada wa ushauri tafadhari!

PATRIOTIST

Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
31
Reaction score
6
Habari wa jf!
Mimi ni mdau wa jukwaa hili hebu tushauriane ktk hili maana km kwel wafanyakazi wote wanafanya hy bac serikal inawalipa mishahara y bure wafanyakazi wake!
Mm n mfanyakazi wa sekta binafsi nipo kikazi mikoani ila nina hangaikia uhamisho wa mdogo wangu fulan yaan mpka nasema haya nadhan labda ifutwe sikukuu ya nanenane maana kila nikienda kushughulikia suala la uhamisho nakuta ofisi tupu yaan naambiwa afisa elimu yupo ktk maonesho haya ss kwel tangu tarehe moja had ss leo, kwel kuna maana ya maonesho haya kama ht kazi za kiofis hazifanyiki hasa ukizingatia napoteza nauli nyingi, muda na nk na kazin niliko ruhusa nyingi kt suala dogo ambalo cjui litaisha lini! Naomba ushauri naweza shitaki wapi ktk hili maana kabla ya maonesho nilipigwa danadana kama hizi na ikumbukwe kuwa huwa nawahi asbh n mapema lkn sipewi huduma zaidi y danadana hizo.
msaada kwa hili
nawasilisha
 
Back
Top Bottom