msaada wa ushauri,natongozwa sana na wasichana kila mahali niendapo adi imekuwa kero kwangu,karibia

nimefanya hivo,lakin kila siku wanaibuka wapya,mim nina msimamo sana,rafik zangu wengine wananishauri vibaya wanataman wangepata bahati hii,lakin mim sion kama ni bahati bali ni fujo tu,na toka nikiwa mdogo adi leo niko na msimamo mkubwa sana adi rafik zangu wanashangaa,lakin mim najua ninachofanya

Endelea kua na msimamo usitetereke coz hao ni mapepo tu,maadam ushajua unawavutia kina dada, endeleza msimamo tu ndio pona yako,pole kwa usumbufu money stunna!
 
siwez mlazimisha mtu kuamin,lakin vigezo vyote vya pesa na handsome ninavyo

stata mzuka kwani umelazimishwa kumsaidia?we umeona huwezi potezea haya c majibu coz ameomba ushauri,money stunna njoo kwangu mi nikushauri alaaaa!wivu tu kisa mwenzio hendsamu looool!
 
hii kero inanitesa sana,ilianza toka nasoma lakin nilivumilia na sikumpenda yeyote,wote niliwakataaa,lakin ata nilipoenda chuo mambo yalikuwa hayo hayo,sababu wanazosema eti mimi ni handsome mzuri kuliko wanaume wengine,mzuri wa sura na tabia.lakin wengi niliwakataa.
Sasa ata baada ya kumaliza chuo,popote nikiwa naona kila siku idadi inazidi sana.

Wengi wanajaribu kwa kuniambia na kunitega lakin nimejitaid kuwakwepa,sababu na mashaka nao kama wananipenda kweli,naona wamependea pesa tu.
Idadi imezidi kufikia leo wamefikia 49 wanaonitongoza,wahabesha 10,eritrean 5,wakenya 9,watanzania 15,philipino 1,wachina 5,na waganda 4.
Imekuwa kero sana adi nafikiria labda nioa ndio wataacha,lakin bado najiuliza kuoa ndio itakuwa utatuzi au vip?

Naomben mbinu za kuwakwepa sababu wengi upenda kunitembelea lakin wakija kunitembelea wanavunga kichwa kinawauma awatak kurudi adi wakat mwingine wanalala adi asubuh,lakin mi nawakwepa,na kati ya hao nimempenda mmoja lakin nimeamua nisimwambie sababu yeye na dada yake wananitaka wote bila kujuana.

Sijui nifanyaje au nikate dushelele
epuka uzinzi,kuwa na sura nzuri siyo tiketi ya wewe kushobokewa na kila ke.jipende jiheshimu na zaidi ya yote mtukuze MUNGU kwa haiba yako.sawa......
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wangu Mpe Yesu Kristo maisha yako Uokokoke ndiyo jibu nakupa ambalo mimi limenisaidia na nimeweza kuishi mpaka leo na utakuwa salama. hakuna njia nyingine ya kuepuka hao wakinamama. Kama hutafanya hivyo maisha yako yako hatarin kwani wadada ni watu hatari sana.
 
nilishampa yesu maisha yangu pia najitaid niish vile anapenda,asante kwa ushauri
 
epuka uzinzi,kuwa na sura nzuri siyo tiketi ya wewe kushobokewa na kila ke.jipende jiheshimu na zaidi ya yote mtukuze MUNGU kwa haiba yako.sawa......

asante mkuu kwa ushauri wako ubarikiwe sana
 
Jingaaaa, unatongozwa na wasichana na wanawake unaogopa mpaka unaomba ushauri? Hembu weka namba yako. alafu karibu mombasa wenye, utalipiwa kila kitu.
 
hongera kwa kuwa na beautiful face samahani handsome face.
Ushauri wangu kama waona sura ndo ya kuponza hebu iharibu kwa kujiweka makovu ili upunguze huo u handsome, kama tabia yako nzuri ebu anza kuwa na tabia mbaya wataacha.
Mwisho kabisa angalia sana hata akina kaka wasije kuku...za
 
Upo nchi gani kwa sasa? Njoo nyumbani nenda Bukoba kuna wanawake wazuri na wavumilivu katika ndoa
 
hongera kwa kuwa na beautiful face samahani handsome face.
Ushauri wangu kama waona sura ndo ya kuponza hebu iharibu kwa kujiweka makovu ili upunguze huo u handsome, kama tabia yako nzuri ebu anza kuwa na tabia mbaya wataacha.
Mwisho kabisa angalia sana hata akina kaka wasije kuku...za

nimezaliwa adi nakua sina tabia mbaya,na tabia nzuri ya upendo kwa watu wote na kusaidia,sorry
 
Back
Top Bottom