Hapo wewe V8 chukua nyeusi usichukua nyeupe, ukishachukua njoo nikwambie kwanini nimekwambia uchukue nyeusiNiambie mkuu
Unataka v8 au V8? Yaan nyoosha maelezo maana kuna v8 na V8Me nataka v8
Ngoja nikuitie Mad Max na Equation x bila kumsahau Extrovert waje wakupe kuongozo zaidiHata hivo hiyo inayouzwa ni nyeusi
Tudalalie hapa ee
Matajiri wanaenda showroom kaka huyu hatupigi kweli hapa?