Msaada wa Ushauri kuhusu ufugaji wa kuku wa nyama (broilers)

Sam pizzo

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
846
515
Wakuu habari za majukumu! Kutokana na ukosefu wa ajira nimepata wazo la kufuga kuku wa nyama baada ya kufanya utafiti wa soko la hao kuku.Napenda niongelee moja kwa moja kuwa kwa sasa sina idea yoyote juu ya ufugaji wa "BROILERS" kwani hapo zamani tuliwahi kufanya huo mradi ila kwa sasa naamini kuna "updates" nyingi juu ya ufugaji,vifaranga bora,chakula,soko na mbinu juu ya ufugaji wa kuku wa nyama,hivyo basi nimependelea kuomba msaada katika hili jukwaa na naamini mtanisaidia kwa ushauri. ASANTENI
NB: Nataka kuanza na kuku 50 kutokana na mtaji niliokuwa nao ni mdogo
 
Unapatikana wapi Mkuu. Kuna muongozo tumeundaa (madactari).wa mifugo. Utakusaidia Sana .
Nichek
0752367114.Dr Khalfan.
NB
Muongozo wa ufugaji unagawiwa bure.
 
Tuwekeeni hapa na Sie tuuone itapendeza zaidi na tutawatafuta kwà mengi zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom