Inverter ya wats ngapi unatumia?Mtaalam nisaidie hili. Nina Sola 60Wt betri N50 haijaisha maji ipo full lakini jua likizima tu basi Inveter nayo haipeleki moto, likiwa tu inafanya kazi kama kawaida hata nikiunga direct toka sola na inveta bado hali ni ileile. Sijajua sola ndo mbovu au betri.
Sio lazima hapa unaweka kitu kinaitwa change over switch kubadilisha na kuna zingine ni automaticMkuu inawezeka kufanya wiring mbili kwa wakati mmoja kwa maana ya umeme wa tanesco kivyake na wa solar kivya(Njia), maana yangu ni kwamba endapo umeme wa Tanesco umekatia/huitaji kutumia - unafanya matumizi kwa njia ya solar..
Bei gani kwa system hiyo?wakuu nina solar kutoka Mobisol ni imara sana. Nimenunua 200w na sasa ni zaidi ya miaka miwili inapiga kazi vizuri na tv inch 32, sabufa, feni na pasi na taa 8 na walinifanyia wayaring bure.. Hiyo battery ni OG from Germany ni nzito mno na haina maji, yaani dry cell. Mobisol wana bidhaa bora sana za sola. Tembelea ofisi zao
Je umefunga charge control au bado? Labda nikukumbushe kuwa sora raha yake ni nilizevu ya moto. Ukitaka ufaidi sora hata kwa panel kama hiyo funga betri kubwa ya N 150 _ 200. Halafu usitumie betri mpaka ijae kama una charge control Kama huna charge control utaua betri mara moja na pia hiyo betri yako ni ndogo sana itatumika kwa muda mfupi sana .Kumbuka taa kutumia DC badala ya AC na taa zichukulie kwenye charge control ili usiwe unakomba kabisa moto.Mtaalam nisaidie hili. Nina Sola 60Wt betri N50 haijaisha maji ipo full lakini jua likizima tu basi Inveter nayo haipeleki moto, likiwa tu inafanya kazi kama kawaida hata nikiunga direct toka sola na inveta bado hali ni ileile. Sijajua sola ndo mbovu au betri.
Maji laini au Distilled water. Uliza kwenye maduka ya vifaa vya magari.asante mkuu, dukani hayo maji yanaitwaje?
Anika kwenye jua kama umeweka maji mapya na isiwe chini ya dakika 20, lakini kama ni maji ya kuongezea hayana haja ya kuanika juani.pia mkuu baada ya kuweka maji hayo mapole nitatakiwa kuanika kwenye jua au sio lazima kuanika kwenye jua
asante kwa ushauri mwanana mkuuKama maji yamepungua kutokana na kumwagika basi unatakiwa kumwaga maji yote na kuweka mapya. Lakini kama yamepungua kwasababu za kawaida yaani kwa sababu ya kutumia (evaporation due to chemical processes) basi unatakiwa kuweka maji mapole (distilled water) hadi cell zote zijae. Usiweke maji hadi kufunika vitundu vilivyoko ndani kwaajili ya kupumulia kwani maji yatamwagika. Tafuta maji ambayo ni genuine.
hivi mkuu kama hutajari sababu ya kuweka maji mapore ni ipi ukizingatia yaliyomo ndani ya betri ni makalimaji makali usijazilize ongeza maji mapole yapo kwenye maduka ya vifaa vya magari kama hujawa tayari kuyamwaga yote, lakini maji kama uamechoka mwaga uweke mapya. TAFADHARI USIONGEZE MAJI MAKALI utaua betri.
Sijakuelewa mkuu hapo umalkianiSolar power nzuri ni umeme wa TANESCO mkuu, hawa wengine ni wababishaji.
Solar zinasumbua sana, jitahidi uvute umeme wa TANESCO hata kama ni gharama kubwa.Sijakuelewa mkuu hapo umalkiani
Solar zinasumbua sana, jitahidi uvute umeme wa TANESCO hata kama ni gharama kubwa.Sijakuelewa mkuu hapo umalkiani
Lugha gonganaSolar power nzuri ni umeme wa TANESCO mkuu, hawa wengine ni wababishaji.
Imeandikwa DC12V TO AC120V, MAX150VAInverter ya wats ngapi unatumia?
Wakuu kuepukana na matapeli au kununua vitu usivyovijua ni bora uwaone Mobisol upate taarifa sahihi. Usije ukashikishiwa masola ya wahindi na wachina yanakufa baada ya siku chache. PIGA 0800755000 BURE KABISA KWA LINE YA VODA. UTAPEWA MAELEKEZO NA MAFUNDI WATAALAM WALIOPATA MAFUNZO KUTOKA UJERUMANI...hivi mkuu kama hutajari sababu ya kuweka maji mapore ni ipi ukizingatia yaliyomo ndani ya betri ni makali
Unaweza kufanya hivyo vizuri sana na tena unaweka automatic switch kutoka TANESCO kwenda solar au hata generator. Vifaa hivyo vipo madukani nenda Kariakoo. Ukitaka kuinjoi solar fanya isiwe ndogo sana iwe kuanzia 200 watts hivi, mimi nafanya mambo mengi sana na 200 watts tv, laptop kuanzia asubuhi hadi saa 11 jioni na tena masaa 2 tv kuanzia saa 2 hadi 4 na tena taa 5 zinabaki zikiwaka nje hadi asubuhi. Hapo mchana natumia blenda, pasi, nk. Ukiwa na pesa solar ni safi saana!Mkuu inawezeka kufanya wiring mbili kwa wakati mmoja kwa maana ya umeme wa tanesco kivyake na wa solar kivya(Njia), maana yangu ni kwamba endapo umeme wa Tanesco umekatia/huitaji kutumia - unafanya matumizi kwa njia ya solar..
PoaLugha gongana