MSAADA WA UPGRADE iPHONE 3GS

MSAADA WA UPGRADE iPHONE 3GS

keeeyaaa

Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
44
Reaction score
14
Habari wakuu.
Simu yangu aina ya iPhone 3gs inahitaji update ili niweze kufurahia software mpya za apple, shida kila nikijaribu inasema 'there was a problem of downloading the software of the iphone "user's iPhone".You do not have permission to access the requested source. Nifanye nini wakuu maana inaninyima raha kila kitu inahitaji iSO 4.1 software ili niweze kufurahia.
 
jaribu kupitia community page au forum za apple unaweza pata suluhu. Pia usifanye update kama hiyo phone iko jailbroken itakupa shida
 
Nashukuru sana nimejaribu sana kufuattilia inaonekana shidaa kama hizo ni nyingi wengi wamepoteza info nyingi kwenye simu zao
 
Habari wakuu.
Simu yangu aina ya iPhone 3gs inahitaji update ili niweze kufurahia software mpya za apple, shida kila nikijaribu inasema 'there was a problem of downloading the software of the iphone "user's iPhone".You do not have permission to access the requested source. Nifanye nini wakuu maana inaninyima raha kila kitu inahitaji iSO 4.1 software ili niweze kufurahia.

Sasa hvi kuna IOS 6.1.2 wewe una 4.1 nadhani inabidi ujaribu kurestore iPhone yako . Je iPhone yako ipo "jailbreak"???


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom