Ndugu wana jamvi naomba msaada wenu kuweza ku upgrade iOS 4.2.1 kwenye simu iphone 4 3g, maana sasa hivi apps nyingi zinahitaji ios 4.3 kuendelea ili kudownload, naomba yeyote anayefahamu anielekeze jinsi ya kufanya ili niweze kuinstall apps nizitakazo,
Thanx in advance