Msaada wa ujenzi

Msaada wa ujenzi

Edobeny

Senior Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
143
Reaction score
29
Ukitaka kujenga kwenye kiwanja chenye bonde kidogo au muinuko ni ipi njia rahisi kati ya kufanya leveling ya kiwanja au kuanza na foundation tangia chini bila ya leveling? Naamin hapa kuna mafundi wa ujenzi au waliowahi kujenga kwenye kiwanja chenye muinuko. Karibuni tusaidiane uzoefu.
 
zote ni njia nzuri na sahihi,ila jaribu kuangalia gharama za pande zote mbili halafu uone mfuko wako ukoje..lakini angalia na eneo ulilopo isije ikawa ukilevel unatengeneza bwawa kipindi cha mvua
 
Wasiwasi wangu nikilevel nahisi ntakuwa chini sana na jirani yangu atakuwa juu. Ila gharama za leveling ni ndogo zaidi
 
Ukitaka kujenga kwenye kiwanja chenye bonde kidogo au muinuko ni ipi njia rahisi kati ya kufanya leveling ya kiwanja au kuanza na foundation tangia chini bila ya leveling? Naamin hapa kuna mafundi wa ujenzi au waliowahi kujenga kwenye kiwanja chenye muinuko. Karibuni tusaidiane uzoefu.

Ushauri wangu. Fanya 1/2 leveling kwa maana sehemu ya kiwanja iliyo juu unachimba kidogo na sehemu ya kiwanja iliyo chini unapandisha matofali kidogo, inakuwa poa sana huwezi amini.
 
huu ndio ushauri sahihi
 
Back
Top Bottom