euca
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 3,959
- 4,419
Wandugu habari za jioni ,ni kwamba katika pitapita zangu huko mitandaoni nikakutana na tangazo la kazi kutoka shirika moja la kimataifa ambalo ni International organization for Migration bt kabla ujaomba kuna form au PH FORM napaswa kujaza so naomba msaada wa maswali namba 11,12,13 na 20.
Pia nina amini humu ndani kuna watu ambao walishajaza hizi form na wengine wapo field huko kigoma wakila keki za kimataifa hvyo naomba muongozo Asante.
Pia nina amini humu ndani kuna watu ambao walishajaza hizi form na wengine wapo field huko kigoma wakila keki za kimataifa hvyo naomba muongozo Asante.