Msaada wa ufafanuzi kwa wataalam...

Msaada wa ufafanuzi kwa wataalam...

Joined
Sep 17, 2016
Posts
18
Reaction score
2
Je kuna mazingira ambayo yanaweza kupelekea nacte wakajumlisha GPA za NTA level 5 na 6 ili waweze kupata cumulative GPA za mtu kwenda bachelor? Nasema hivi coz kuna habari alizipata ndugu yangu aliyeomba kwenda bachelor kuwa, kama chuo hakina full registration itapelekea nacte kujumlisha NTA level 5 na 6 ili waweze kupata cumulative GPA, yaan kujumlishwa semester zote NNE za diploma. Je hizi taarifa zina ukweli ndani yake?
 
Back
Top Bottom