mkuu, haujatoa maelezo ya kutosha; elimu yako, umri, unafanya kazi wapi, umepata chuo wapi? btw, heslb mbona wanatoa mikopo aslmia mia kwa wanafnzi wa md! ww umeomba mkopo mara ngapi ukakosa? na mwaka huu bajeti imeongezwa watu watapata sana mikopo, ukizingatia 2015 uchaguzi lazima waandae mazingira.