Naomba msaada wetu, nikiwa katika normal settings za let say startmes/Zuku and the like nikachomoa receiver zao na nikachomeka receiver za gulf star ambazo licha ya kutumia lnb za kawaida hukamata masafa kadhaa kwa Ku band. Je, ni matangazo au masafa gani nitapata?