Msaada wa Tyre nzuri

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Bandugu,

msaada wa good saloon car tyre at the affordable price!

hiizi za linglong nazisikia ila bei yake inanitisha kama ni nzuri barabarani. Kwa aliyezitumia share the experience thanz
 
Ndugu,sokoni kuna tairi nyingi sana za aina tofauti!cha kufanya we chunguza magari madogo barabarani mengi yanatumia tairi gani,pata sampo km tatu then go for window shoping
 
kuna topic km hii isechi ina michango mizuri sn kuhusu swala lako mpk jinsi ya kuangalia expire date ya tairi.....unaweza nunua tair expensive but km limexpire halitadumu.....
 
Tairi imara ni za Japan na Europe but expensive.. za China ndo nyingi sokoni na ni cheap.
 
Back
Top Bottom