Kwa bajeti hiyo utapata hizi za kawaida brand za kichina nyingi, ila kwa brands kama LG, SAMSUNG, TCL, HISENSE, XIAOMI n.k kidogo ni mtihani labda uchukue kwa mtu mwenye shida na hela au maduka wanaouza used, ngoja waje wakuelekeze machimbo ya kupata hitaji lako bablai..