ni siku ya pili sasa tunnel guru yangu imekataa kabisa kuestablish connection, nimejaribu server zote bila mafanikio setting kila ktu kiko fresh na nilikuwa naitumia vizuri tu siku chache zilizopita isitoshe vocha niliyoweka haina hata zaidi ya siku 10.naombeni msaada wakuu tatizo ni lipi
.usione kimya mkuu kama huna undugu na njunwa njoo tujiunge kwenye mazsh ya rip vpn.
Kwan huyo ni munguu au?
- Tujenge utaratibu wa kuwatumia Resellers wetu wa Voucher kupata ufumbuzi wa matatizo madogo madogo. Badala ya kufungua uzi mpya
- Ok Nipigie au nitumie PM muda wa Jioni leo nitakusaidia kutatua tatizo lako.
Ushaambiwa Guru never Dies if dies if dies cannot Rot if rots never smells if smells then smells perfume TG bado iko ni wewe kujishughulishani siku ya pili sasa tunnel guru yangu imekataa kabisa kuestablish connection, nimejaribu server zote bila mafanikio setting kila ktu kiko fresh na nilikuwa naitumia vizuri tu siku chache zilizopita isitoshe vocha niliyoweka haina hata zaidi ya siku 10.naombeni msaada wakuu tatizo ni lipi
Ushaambiwa Guru never Dies if dies if dies cannot Rot if rots never smells if smells then smells perfume TG bado iko ni wewe kujishughulisha
ni siku ya pili sasa tunnel guru yangu imekataa kabisa kuestablish connection, nimejaribu server zote bila mafanikio setting kila ktu kiko fresh na nilikuwa naitumia vizuri tu siku chache zilizopita isitoshe vocha niliyoweka haina hata zaidi ya siku 10.naombeni msaada wakuu tatizo ni lipi
kaka njuwa wewe ndo unafaa..aisee tutafanya mawasiliano unipatie hizi setings zako mana na kwangu imebuma TG....TunnelGuru ipo na Speed ni ya ajabu kwa Torrent na IDM
.mkuu njunwa hebu nieleze kuhusu pd tafadhar.
Kwan huyo ni munguu au?
PD proxy is a virtual private network client
Inatumika ku-Block website ambazo wameblock kama Netflix etc
Lkn sisi tunajua Kui-tweak Huku kwetu Zambia tunapata Internet ya bure kwa kasi ya ajabu kwa bei rahisi
Any questions?
.mm nmetumia hii ktu kwa bas let pendwa lakn tangu ijumaa lmeanza kusumbua nkapata jmos kdogo baada ya hapo cjapata tena swal langu ni jee huu ndo mwisho au kuna uwezekano wa kurud mana nmetumia sku nne tu.
kama nimekuuzia mm voucher fanya makeke nicheki hewani
au hata kama umenunua from third party check footer yangu
Hahaha, much trust on u!,kama nimekuuzia mm voucher fanya makeke nicheki hewani
au hata kama umenunua from third party check footer yangu
Hahaha, much trust on u!,