Msaada wa tuition na gharama zake

Msaada wa tuition na gharama zake

afande kifimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2015
Posts
6,297
Reaction score
2,780
Jamani naombeni msaada wa tuition ya secondary EGM ...nasikia inapatikana mapambano Mwenge, Je ikoje na gharama zake hata angalau kwa estimate maana mimi secondary nimetoka miaka 23 iliyopita.
 
Jamani naombeni msaada wa tuition ya secondary EGM ...nasikia inapatikana mapambano Mwenge, Je ikoje na gharama zake hata angalau kwa estimate maana mimi secondary nimetoka miaka 23 iliyopita.
wewe nenda pale mapambano tuition ipo sana lakini mimi niliwahi kuwauliza gharama kwa hesabu inaanzia 10K nakuendelea kwa topic lakini hayo masomo mengine sijajua!
 
Fika Mwenge kwenye uwanja wa mpira,utaona kanisa kwa mbele,sogea hapo kisha pinda kushoto,tembea kama mita 100 utaona bango lao.
 
home tuition ijaribu ni nzuri sana ..achana na kwenda kusoma kwenye nyomi ya watu .understanding ni narrow ...ni PM nikupe info kama ukihitaji home tuition ..if not ..be quite
 
Back
Top Bottom