manually nishatafuta sana kumpata mtu wa kunifundisha jinsi ya kuweza kujiprotect kwa mfano ukivamiwa
SABABU ilionifanya niombe huu msaada ni mazingira ninayoishi ya hapa dar kwani hata atokee mtu hapa anipore simu siwezi kuzuia kumpa maana ikitokea akaweka shinikizo kidogo sina self defence
BINAFSI nishawahi ibiwa watu walivunja na kuiba vitu vingi vilivyokua sebuleni ikiwemo laptop,simu, binafsi hata kama ningewasikia nisingeamka maana singeweza kupambana nao
Pili nishaama nilipokua nakaa lakini bado nina hofu je mtu akija kuingia pale nitapambanaje nae sababu naishi mwenyewe bado
HIVYO BASI kama kuna mtu anaweza akanipa training hii au ana mtu ana mjua tafadhali nipo radhi tuanze mapema kabla ya pasaka
Asanteni
zubedayo yaonekana wewe ni mtu wa wrestling sasa hatuwezi kuelewana. Wee endelea na principles za mieleka tu. Kwa mwili huo si rahisi kuwa mwepesi kiasi cha kucheza karatemakarateka hawajisemi...............
Mkuu nitaipataje hiyo kitu, sina hela ya kununua manativya kizungu hiyo folder itanisaidia mpnzNina package moja hivi inaitwa "Combat Survival" ni video series yenye maelekezo ya kujilinda na ipo very comprehensive. Inatumiwa sana na makomando wa Jeshi but hata mtu wa kawaida itakufaa. If u ar interested nitakupa hilo folder unacheck tu kweny tv au computer huku unapractice. Hata ukipata mwalimu bado yenyewe ita-serve a useful purpose 2u...
Mkuu nitaipataje hiyo kitu, sina hela ya kununua manativya kizungu hiyo folder itanisaidia mpnz
Kama ni mwanamke niko tayari kukufundisha kwa sasa niko hapa Dodoma kwa Kazi maalumu.manually nishatafuta sana kumpata mtu wa kunifundisha jinsi ya kuweza kujiprotect kwa mfano ukivamiwa
SABABU ilionifanya niombe huu msaada ni mazingira ninayoishi ya hapa dar kwani hata atokee mtu hapa anipore simu siwezi kuzuia kumpa maana ikitokea akaweka shinikizo kidogo sina self defence
BINAFSI nishawahi ibiwa watu walivunja na kuiba vitu vingi vilivyokua sebuleni ikiwemo laptop,simu, binafsi hata kama ningewasikia nisingeamka maana singeweza kupambana nao
Pili nishaama nilipokua nakaa lakini bado nina hofu je mtu akija kuingia pale nitapambanaje nae sababu naishi mwenyewe bado
HIVYO BASI kama kuna mtu anaweza akanipa training hii au ana mtu ana mjua tafadhali nipo radhi tuanze mapema kabla ya pasaka
Asanteni
NitakuPM nikirudi Dar kwa sasa niko Dodoma kwa kazi maalumu lakini mafunzomanually nishatafuta sana kumpata mtu wa kunifundisha jinsi ya kuweza kujiprotect kwa mfano ukivamiwa
SABABU ilionifanya niombe huu msaada ni mazingira ninayoishi ya hapa dar kwani hata atokee mtu hapa anipore simu siwezi kuzuia kumpa maana ikitokea akaweka shinikizo kidogo sina self defence
BINAFSI nishawahi ibiwa watu walivunja na kuiba vitu vingi vilivyokua sebuleni ikiwemo laptop,simu, binafsi hata kama ningewasikia nisingeamka maana singeweza kupambana nao
Pili nishaama nilipokua nakaa lakini bado nina hofu je mtu akija kuingia pale nitapambanaje nae sababu naishi mwenyewe bado
HIVYO BASI kama kuna mtu anaweza akanipa training hii au ana mtu ana mjua tafadhali nipo radhi tuanze mapema kabla ya pasaka
Asanteni
mm enzi zangu hizo.hii michezo si kujilinda pekee.bali adabu,heshima,afya na kujiepusha na magonjwa na tabia hatarishiAzura wanafundisha wako pale karibu na daraja la kawe ukiingia google utapata contacts zao, kuna shirikisho la japani tanzania wanafundisha karate hiki ni chuo kimesajiliwa kipo pale mbuyuni karibia na kanisa la nyerere 0755256605, pia kuna wengine wanafundisha taekwondo ni martial arts ya kikorea 0758464961 na kama unataka ulinzi binafsi na dereva ni pm nimesoma zote hizo na matumizi ya silaha na udereva wa ulinzi
Tuma contact kwenye executivejose@gmail.com
Nitupie kwa email basi hiyo kitu jobkiss@yahoo.comMkuu folder ni kubwa. Ni zaidi ya GB moja...
Dah! ya maji ya pilipili imekaa sawa ila mi nilikuwa naplani kuweka katika chupa maji ya betri,akichungulia tu! anayo ya macho ! kipofu forever.Vibaka wa bongo heri uwe na maji ya pilipili kichaa,uweke kwenye kale chupa cha chilisosi yenye matundu mengi,akikusogelea tu unaibinya machoni kwake.
Halafu hivi kuna hizi short za umeme imekaa kama silaha hivi,huwa naona kwenye movie utakuta polisi wanakamata nayo majambazi au wezi,kibongo haiuzwi?
Mnh! This is too much kaka,mzee mwamunyange akikuuliza umeipata wapi utamjibuje? mi chimo
Mkuuu naweza pata hiyo video ya mazoezi?,Kwenye mtandao siyo rahisi. Mi nilikuwa nahangaika kama wewe nikafukuafukua sana youtube na kwingineko nikaambulia tu video za kawaida ambazo siyo za kimafunzo. Nikaja kuibahatisha hii kw jamaa yangu mmoja jeshini. Kuitupia hapa ni ngumu manake folder ni kubwa (more than GB).
Samahani ni abdallahissah.1969@gmail.comNina package moja hivi inaitwa "Combat Survival" ni video series yenye maelekezo ya kujilinda na ipo very comprehensive. Inatumiwa sana na makomando wa Jeshi but hata mtu wa kawaida itakufaa. If u ar interested nitakupa hilo folder unacheck tu kweny tv au computer huku unapractice. Hata ukipata mwalimu bado yenyewe ita-serve a useful purpose 2u...
niunganishe naye sparring nijipime uwezoSijui km utakua na hela ya kulipa ila kuna master 22years experience kwenye tai chi huyu sekunde anakutoa uhai ila kwa mwezi laki sita na unafanyiwa interview na yeye kuna vitu anavicheki kwanza akijua hakufundishi, short course miezi 6 ukimaliza hiyo fupi tu kati ya watu 500 labda moja anaweza kukupigani m1 tu anaweza kukupiga ila sio uje kua jambazi tu maana ni shehe swafi hataki uchafu, complete course miaka 6 hiyo ana wafundisha wanae tu ila ukihitimu hiyo ww ni full lethal weapon ndan ya dk. 1 mtu anaaga dunia. Nilijifunza mwezi kwake mazoezi ya viungo tu na emotional intelligence kwa mwezi tu nilihisi kbs nmekua kiumbe kipya
npo dar ushapata mtu au nkufundishemanually nishatafuta sana kumpata mtu wa kunifundisha jinsi ya kuweza kujiprotect kwa mfano ukivamiwa